Baada ya kimya cha muda mrefu kidogo kundi la TANCH linalo undwa na Tana pamoja na Chibwa wamerudi tena na video pamoja na audio ya ngoma yao mpya kabisa
inayo julikana kwa jina la MABAWA video ime fanywa na ZION MOUNTAIN chini ya director Malijana Msolana kwa wale wapenzi na mashabaiki wa regge mna weza i cheki hapa

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni