Penzi la Aunty Ezekiel na Mcheza Dansi Moses Iyobo Lazidi Kuchanua Wakati huu wa Valentine..Soma Messeji zao
Haya hapa ni maneno walioandikiana kwenye page zao za Instagram siku ya Valentine hapo juzi
Aunty Ezekiel
Happy Valentine Moo akee Baby akee boo boo wa mm Baba akee.....Jaden Baba wa.....Umbea tyuu Nimemaliza waone kwanza @moseiyobo @moseiyobo @moseiyobo Aunty akee lv u
Moses Iyobo
Kabla Siku haijaisha hawa Ndio washkaji zang. ..THEY JUST SAY �� MY DADY IS THE BEST @auntyezekiel @jadenjerry
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni