Siri Imefichuka, Mimba ya Aunty Ezekiel Sio ya Moze Iyobo Kama Wengi Wanavyodhani
Wakati tetesi zikizagaa kila kona ya mji , kuhusu ujauzito wa star wa movie ya 'Young Billionaire', Aunty Ezekiel kuwa amenasa ujauzito wa dancer wa mwanamuziki maarufu nchini, Diamond Platnums aitwaye Moze Iyobo. Licha ya dancer huyo kuinadi mimba ya mpenzi wake huyo mitandaoni , Aunty ameibuka na kudai ujauzito alionao sio wa dancer huyo....
kama watu wanavyojua bali ni ya mtu mwingine ambaye kwa mujibu wa Aunty amesema atajulikana soon baada ya kichanga hiko kilichopo tumboni kuzaliwa.
Paparazi: Mambo vipi? Kwema lakini Aunt? Ehne leta maneno, mna mipango gani na baba mtoto mtarajiwa, Iyobo?
Aunt:Hahaha mimi mzima! Kuhusu Iyobo, mh! Kanipa mimba! Si kweli, nitakapojifungua nitamtaja baba wa mtoto wangu.
Paparazi: Mbona Iyobo amekuwa akijinadi kwenye vyombo vya habari kuwa mzigo ulionao ni wake?
Aunt: Mh! Jibu langu ni hilo nililokupa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni