Demu Kutoka Kenya TIARA Anayemtaka Kimapenzi Diamond Aingizwa Mkenge na Diamond Platnumz
 |
| Socialite and Singer Tiara |
Demu wa Kenya Anayejulikana kama TIARA ambae alishindwa kuficha hisia
zake na kumtumia Video na Picha za mitego Diamond kwa Kupitia Udaku
Special Blog Ametuhabarisha kuwa baada ya Video na picha zake kusambaa
alitafutwa na Diamond Platnumz na kuanza kuchat nae na kutumiana picha
mbali mbali na alifikia mahala akasema anamtumia Ticket za kuja Dar
wafanye yao pamoja na Collabo ya Mziki ..Lakini mpaka leo Tickets
hazijatumwa....Sasa baada ya tickets kutokutumwa na Diamond kukaa kimya
ilibidi aanza kufanya uchunguzi kuhusu huyo Diamond na Mwisho kugundua
anachat na Diamond Fake...anatumia jina la Diamond..kwenye facebook
anajiita :
Diamond Wasafi Platnumzz
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni