Mwigizaji Kajala na Producer P-Funk Majani Warudiana Sasa Mapenzi Upya
Mwigizaji wa Kike Kajala Masanja Mwenye ugomvi na Wema sepetu Baada ya
Kuchukuliana Mabwana inasemekana kwa sasa ameamua kurudiana na aliyekuwa
mpenzi wake wa zamani Producer P-funk Majani ...Ambae ni Baba wa Mtoto
wake Anayejulikana kama Paula....
So cute Jamani ..Tunzeni Mtoto sasa!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni