Mwenyekiti wa kamati ya maafa ya
watu waliopatwa na janga la mvua ya mawe katika kata ya Mwakata
ambae ni mkuu wa wilaya ya Kahama, Benson Mpesya wa katikati akipokea
msaada wa vifaa vya ujenzi mabati 176 na mifuko ya saruji 130
vilivyotolewa na kampuni ya bia ya TBL kulia anayekabidhi ni meneja
mauzo na usabazaji Godwin Zakaria na kushoto ni mjumbe wa kamati Patrick
Kalangwa ambae ni mkurugenzi wa halmashauri ya Msalala lengo la msaada
huo ni kuunga mkono ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya kuwajengea nyumba
wahanga hao.

Mkuu wa wilaya ya Kahama Benson
Mpesya kushoto ambae ni mwenyekiti wa maafa wa janga la mvua ya mawe
lililowapata wananchi wa kata ya Mwakata wilayani Kahama akipokea
msaada wa vifaa vya ujenzi mabati 176 na mifuko ya saruji 130 toka
kampuni ya bia ya TBL , anayekabidhi kulia ni Meneja idara ya mauzo na
usambazaji Godwin Zakaria na katikati ni Juma Akida ambae ni meneja
mauzo kanda ya ziwa .
Wananchi wa kijiji cha Mwakata
wilayani Kahama wakishusha msaada wa mabati yaliyotolewa na kampuni ya
bia tanzania TBL kwa lengo la kuunga mkono ahadi ya Rais Jakaya Kikwete
ya kuwajengea nyumba wahanga wa kata hiyo walioathiriwa na mvua ya mawe
ambako kampuni hiyo imetoa mabati 176 na mifuko ya saruji 130 .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni