Mara tu ya Taarifa kusambaa kuwa Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Mwanza
Ezekiel Wenje ameshinda pingamizi lililowekwa na Mbunge Mabula kesi ya
uchaguzi Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Ameandika haya kwenye
ukurasa wake wa Facebook:
"Hongera Ezekia Wenje kwa kushinda pingamizi lilowekwa na Mabula kwenye
kesi yako ya Uchaguzi ni hatua kubwa ya kurudi bungeni na kuwatumikia
wana Mwanza" Godbless Lema
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni