New Jobs Announced Today.
Jumapili, Machi 09, 2014Kampuni tanzu ya British Contact (T) LTD iliyopo Dar es salaam, inatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa jisia zote, wa kiume na wa kike ili kujaza nafasi zifuatazo;
1. Usimamizi (Overseer)
2.Ukufunzi (Trainer)
Kwa maelezo zaidi zaidi piga simu namba, 0717280829, 0715156868, 0682153056 au 0718360369
YUSUPH NDAGWA
MENEJA WA KANDA DAR ES SALAAM

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni