JUX AANDIKWA KWENYE WEBSITE KUBWA NIGERIA

Msanii anaye julikana vizuri hapa Tzee, katika anga za muziki wa Bongo Fleva, Juma Mussa aka Jux Voiton ambaye anatamba na ngoma zake kibao zikiwemo ‘Uzuri wako, Nitasubiri nk.
Msanii huyo katika hangaika hangaika za hapa na pale ili kuufikisha mbali muziki wake, amefanikiwa kutokelezea kwenye top website ya Nigeria inayofahamika kwa jina la talkmedianigeria.com unaweza uka shuhudia wenyewe kilicho andikwa ndani.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni