Martin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake? Jisomee Alichoandika
Katika pitapita zangu instagram nikakutana na post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja wake mpya Elizabeth michael aka Lulu.Nilishangazwa sababu maneno haya hayakutakiwa kuwekwa na manager wake,labda kama ana mmanage kwenye biashara ya Ngono..
Picha hiyohapo niliyo screenshoot.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni