vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumatatu, 15 Desemba 2014

DIAMOND AMSHUSHIA DONGO ZITO WEMA SEPETU..!!

DIAMOND AMSHUSHIA DONGO ZITO WEMA SEPETU..!!



Kupitia mtandao wa Instagram Mkali wa Nyimbo ya Number One na pia Ntampata wapi, Diamond Platnumz ameandika ujumbe mzito ambao mashabaki wengi wanadhani ni ujumbe kwenda kwa mpenzi wake wa zamani Beautiful Onyinye, Wema Sepetu licha ya kwamba mkali huyo alikua anampa promo msanii shilole kwani hata picha ilikua inajieleza.




Kuachana kwa Diamond na Wema kumetengeneza makundi tofauti tofauti kwenye mitandao ya Kijamii kiasi yakwamba wawili hao wakiandika chochote basi hudhaniwa/huchukuliwa kama kijembe.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni