vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumatatu, 15 Desemba 2014

UMEIONA SURPRISE YA RIYAMA KWA HUYU JAMAA..!!

UMEIONA SURPRISE YA RIYAMA KWA HUYU JAMAA..!!


Hivi ni vijimambo tu.Mwigizaji wa filamu, Riyama Ally,alimfanyia surprise mpigapicha mahili wa filamu hapa nchini, Farid Uwezo kwa kumtengenezea keki yenye umbo la cammera. Ilikuwaje? Riyama anafunguka;


Udugu sio lazima kuzaliwa tumbo moja mkikinaiana mkapendana kwa dhati na mkaheshimiana basi ni undugu tosha nilianza kumjua faridi miaka saba iliopita mpaka leo amekua ndugu yangu kabla hajaanza kupiga picha mpaka sasa amekua gumzo ktk tasniayetu ya filamu
Ila hakuwai kunidharau hakuwahi kunisahau hata sikumoja tunasaidiana ktk shida na raha
Jana nikamueza nikamdanya aje tusain mkataba wakazi alipo fika akuta nimemuandalia cake ya camera
Alifurahi mpaka alikua anatetemeka nikamwambia wewe ni zaidi ya rafiki kwangu ,nduguyangu.Nakupendasana fariduwezo


Farid naealifunguka
Kiukweli siamin kilicho tokea usiku huu kweli dada yangu mpenz umenifanya nisiami kilicho tokea RIAMA ALLY kwakunifanyia hichi mungu akulinde milele na akupe maisha marefu kiukweli siamin siamian unanita kuwa kuna kazi kumbe nihichi Riyama nakupenda sana dada yangu Riyama.

Alicho nifanyia jana kiukweli sito msahau jaman dahaa mungu jaman mlinde hiyu jaman umetoka safari na uchovu uliokuanao lakin ukaona hapana lazima nimuone mdogo wangu na ukanifanyia kitu ambacho siku tarajia nakupenda sna acheni tu niseme

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni