vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumanne, 27 Januari 2015

Shilole Amchapa Makofi Mpenzi wake Nuhu Mziwanda, Steve Nyerere na Mabausa Washindwa Kuamua Timbwili la Shilole

Shilole Amchapa Makofi Mpenzi wake Nuhu Mziwanda, Steve Nyerere na Mabausa Washindwa Kuamua Timbwili la Shilole

Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko Yao lililofanyika Leaders Club, Gazeti la Makorokocho lilishudia live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere alijitokeza kuamulia ugomvi na kufanikiwa kumtoa Shilole eneo lile lakini baada ya muda Shilole akarudi na kumdai funguo ya gari Nuh ambaye siku hiyo alionekana kuwa mpole ikabidi mabaunsa waingilie kati na kumtoa kwa nguvu shilole, baadae Nuh alionekana akitoa machozi na Malkia wa Taarabu Khadija Kopa alionekana akim'bembeleza na kumfuta machozi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni