vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Alhamisi, 11 Juni 2015

Picha za Uchi Zamponza Miss na Kusababisha Kuvuliwa Taji la Umiss


Kama ilivyokuwa kwa Miss wa Tanzania Sitti Mtemvu Kujivua Taji la Umiss Baada ya watu kushikilia amedanganya umma kuhusu umri wake..Miss Zambabwe kwa Jina Emily Kachote limemtoa la kutokea baada ya Kuvuliwa Taji la Ummiss wa nchi hiyo mwaka huu baada ya Picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni..Watu wengi wamefurahi kitendo hicho cha kuvuliwa Taji Miss Huyo kwani Toka mwanzo wengi walikuwa wanasema hakustahili ushindi huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni