DIAMOND ARUDISHA SHUKRANI KWA BLOGGER ALIYE CHORA HII PICHA NA KUMPA PROMO KURA ZA MTV
Ni tofauti kwa wasanii kurudisha shukrani kwa fans mara kwa mara,
lakini mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva ambaye kwa sasa ana shindania
tuzo za MTV, Nasibu Abdul aka Diamond Platnumz
kupitia account yake ya Instagram ame rudisha shukrani kwa msanii na
blogger aliye chora picha ku promo Diamond apigiwe kura kwenye MTV.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni