TAZAMA PICHA ZA MWILI WA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA ULIVYOAGWA JANA KWAO MAENEO YA BUNJU

Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii.
Mwili wa marehemu Adam Kuambiana ukitolewa kwa ajili ya kuagwa.
Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani Bunju B.
Mwili wa marehemu ukishushwa kutoka kwenye gari Bunju B.
MWILI wa mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana umeagwa nyumbani kwake Bunju B, Dar ambapo ndugu, jamaa, wanasiasa, marafiki wameshiriki tukio hilo. Leo asubuhi mwili utapelekwa Viwanja vya Leaders kuagwa na baadaye kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni