vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumamosi, 31 Mei 2014

Exclusive Photo: Panapofuka Moshi? .......Penzi la KITALE na PENNY


Juzi niliposti  picha ya KITALE (Kwasasa unaweza kumuita MKUDE SIMBA) [ONA HAPA] akiwa anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye hisia kali (Daah mtoto P hadi akafumba macho).....Nikawaachia wadau MKOMENT..Sasa leo tena mwanadada Penny Kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM ametupia hii....Sina cha ku-comment zaidi ya kukumbuka msemo wa PANAPOFUKA MOSHI....UJUE KUNA MOTO!




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni