vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumamosi, 31 Mei 2014

NI pigo tena kwa tasnia ya Bongo Muvi, mwongozi filamu Bongo na aliyekuwa mume wa staa wa filamu Bongo, Yvonny Cherry ‘Monalisa‘, George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari eneo la Morogoro akitokea mkoani Dodoma. Tyson alikuwa ameambatana na watu kadhaa katika safari hiyo.
Marehemu Tyson akiwa na Monalisa (kushoto), kulia ni Tyson na mwanae Sonia.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Monalisa amemlilia Tyson kwa kuweka picha hiyo juu na kuandika maneno yafuatayo:
Monalisa akimnywesha kinywaji Tyson wakati wa kipaimara cha Sonia.
George Tyson enzi za uhai wake.
George Tyson akimlisha keki Yvonney Chery ‘Monalisa’ wakati mtoto wao Sonia alipopata kipaimara.
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni