Kutana na Flavian Matata -A True Tanzanian beauty queen and fashion model
Sina mengi, huyu ameshafanya mengi kwa jamii, amevutia wengi kufuata
nyayo zake, hana SKENDO za kutengeneza kwa makusudi (kama wale wenye
TEAM za udaku)...Nyota yake ilianzakung'ara tangu 2007 aliposhinda taji
la Miss Universe,
Tanzania na kuwakilisha nchi kwenye mashindano hayo kidunia....Huyu ni
mwanamitindo mwenye mafanikio kimataifa..., Ana Asasi yake ya kusaidia
jamii........Mimi namuita -A True Tanzanian beauty queen and fashion model
Jionee picha zake akiwa katika moments tofauti tofauti
Kazini...GYM...
Kijamii zaidi...ENDELEA HAPA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni