#PICHA: Muonekako mpya wa LULU...unamuonaje?!
Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa
miaka ya 80)...yaaani ana TV personality toka LONG , kwa hapa Bongo ni
staa wetu tumependwa na wengi (pamoja na mimi toka kitambo) anaitwa
Elizabeth Michel a k a Lulu...Ameamua kubali kidogo muonekano baada ya
kuvaa MIWIGI kwa muda sasa......[
PICHA ZA ZAMANI HAPA].....Mpe namba 1 hadi 5.....
1-Mbaya
2-Kwaida
3-Nzuri
4-Nzuri sana
5- Ametishaaaa
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni