
Tarehe 25 May 2014 ilikua ni Birthday ya Mtangazaji wa Kipindi cha Ala
za Roho ya Cloudsfm Diva iliyofanyika katikati ya Bahari pande za White
Sands Hotel na kuhudhuriwa na wageni wachache kwa mualiko maalum,
alikuwepo Mtangazaji wa Amplifaya ya Cloudsfm Mtu wa Nguvu Millard Ayo,
Mtangazaji wa Cloud E ya clouds Tv, Mwanadada Irene Andrew mtu wa karibu
na Diva Loveness Love, Mdogo wake Diva Gloria, Francis Ayo pamoja na
Gossip Cop Soudy Brown.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni