vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Alhamisi, 29 Mei 2014

Trey Songz ashindwa kujizuia, baada ya kupewa dili la kutumbuiza kwenye moja ya tuzo anazowania Diamond.

collage
Trey Songz amefunguka na kuonyesha furaha yake kubwa baada ya kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards 2014 , Trey Songz ataungana na kundi kubwa la wanamuziki mbali mbali kutoka Africa akiwemo ,Nigerian sensations Davido, Flavour and Tiwa Savage, and South African hit makers Mafikizolo, Uhuru, Oskido and Professor, na wengine wengi, mbali na hao wanamuziki kutoka states watakaoshusha perfomance zao ni R&B superstar Miguel, hip hop game changer French Montana.
mtv-africa-music-awards-2014-feedback-musiq
Akizungumza kuonyesha furaha yake kuja africa kwa mara nyingine , “I’m excited to finally be going back to Durban. I went once just for a day but this time I’m spending more time to get to know the people and the culture.”
“I can’t wait to perform at the awards show, especially since it’s live for the first time ever. It’s going to be amazing to feel the energy when I’m on that stage and see some of the best talent that Africa has to offer.” -aliongezea Trey.
Screenshot-2013-10-14-at-00.52
Ni moja ya tuzo ambazo Tanzania imempeleka mwakilishi wake, mkali wa Afro-Pop Diamond Platnumz, anayezidi kufanya vizuri katika muziki barani Africa, na kuwa na imani kubwa ya kurudi na tuzo hiyo hapa nyumbani, Tuzo hizo za  MTV Africa Music Awards (MAMA) zitakazofanyika KwaZulu-Natal kwenye ukumbi wa the Durban International Convention Centre (ICC), siku ya jumamosi, 7 June. Imebaki kama wiki hivi kuweza kushuhudia live kupitia MTV, MTV Base, BET International.
clip_image001_thumb3

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni