vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Alhamisi, 29 Mei 2014

Mtindo Mpya wa Nywele za Beyonce..Tafadhari dada zetu!!

  KUTOKA KWA MDAU:
Jana kupitia akauti yake ya INSTAGRAM mwana mama Beyonce aliweka picha kuonyesha mtingo mpya wa nywele zake...Nywele hizo ni ndefu sana  na zinarangi rangi kama unavyoziona pichani kiufupi inaonekani ni Gharama sana kuzitengeneza (ndio kweli wenyewe)..Kwahiyo basi kwaniaba ya jamaa zangu wote ambao TUNAHUDUMIA ninaomba STYLE HII isifike bongo na kama ikifika mamlaka husika ziipige marufuku....Tumechoka!!!!..Ni mimi mdau 
Hehehehe....Asante sana mdau.....wamekusona Ngoja nikumwagie picha za B akuwa mtaani na nywele hizo:



 

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

Maoni 1 :

  1. me ntakua wa kwanza kuiga..na komwe langu hili aaah ntanogaje..lolest

    JibuFuta