Mtindo Mpya wa Nywele za Beyonce..Tafadhari dada zetu!!
KUTOKA KWA MDAU:
Jana kupitia akauti yake ya INSTAGRAM mwana mama Beyonce aliweka picha
kuonyesha mtingo mpya wa nywele zake...Nywele hizo ni ndefu sana na
zinarangi rangi kama unavyoziona pichani kiufupi inaonekani ni Gharama
sana kuzitengeneza (ndio kweli wenyewe)..Kwahiyo basi kwaniaba ya jamaa
zangu wote ambao TUNAHUDUMIA ninaomba STYLE HII isifike bongo na kama
ikifika mamlaka husika ziipige marufuku....Tumechoka!!!!..Ni mimi mdau
Hehehehe....Asante sana mdau.....wamekusona Ngoja nikumwagie picha za B akuwa mtaani na nywele hizo:
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO
me ntakua wa kwanza kuiga..na komwe langu hili aaah ntanogaje..lolest
JibuFuta