vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Alhamisi, 12 Juni 2014


DIAMOND NA WEMA WAWEKWA KWENYE HEADLINES ZA MITANDAO HUKO NCHINI NIGERIA.


Katika hali isiyo ya kawaida, sababu tulishazoea kuona Diamond na Wema Sepetu wakiwa wana-make headlines kwenye mitandao ya huku Tzee, hii ya sasa hivi mpya, sahz ni hadi huko nchini Nigeria wakizidi kuzungumzia muonekano wa couple hao, hasa walivyotokea ndani ya tuzo za Mtv zilizofanyika siku chache tu zilizopita.
Diamond Platnumz na Wema Sepetu


BONUS! Best Dressed Pair: Diamond Platnumz & Wema Sepetu Wema looks glamorous in that black dress and Diamond looks fab in his beige suite. The look fab in each other’s arm.www.jaguda.com/2014/06/09/2014-mtv-africa-music-awards-mama-wore-best-worst/ © Jaguda.com
“BONUS!Best Dressed Pair: Diamond Platnumz & Wema Sepetu
Wema looks glamorous in that black dress and Diamond looks fab in his beige suite.They look fab in each other’s arm”-By Jaguda.com
Kupitia mtandao wa habari huko nchini Nigeria wa Jaguda(www.jaguda.com),, Diamond Platnumz na mpenzi wake Wema Sepetu, wametokea kupamba kwenye headlines ya mtandao huo kwenye sehemu ya fashio, ikizungumzia jinsi wawili hao walivyopendeza, siku hiyo ya tuzo za Mtv, haikuwa wao tu, habari hii ilikuwa inazungumzia zaidi utafiti liofanya na wadao huko nchini Nigeria kutaka kujua nani alitokelezea zaidi na nani aliboronga kwenye upande wa fashion siku hiyo, huku matokeo yakielezea jinsi wawili hao wakiwa wanakimbiza kwa jinsi walivyokuwa wamependeza zaidi katika event hiyo, na kuandikwa kuwa ndio Best Dressed Pair.”
BONUS! Best Dressed Pair: Diamond Platnumz & Wema Sepetu Wema looks glamorous in that black dress and Diamond looks fab in his beige suite. The look fab in each other’s arm.www.jaguda.com/2014/06/09/2014-mtv-africa-music-awards-mama-wore-best-worst/ © Jaguda.com
“- By Jaguda.com
CREDIT : VIBE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni