vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Alhamisi, 12 Juni 2014

REVEALED!!! JAMAA ALIEMKAMATA MASOGANGE HUKO SAUZI....HUYU HAPA!!

Story nzima inatokana na uchunguzi kufuatilia TRENDs za Agnes Masogange kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

Kama mnavyojua dada yetu MASOGANGE  kwa muda sasa yupo nchini SAUZI na amekuwa sio mchoyo wa PICHA zake, wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM
Sasa mimi sijajua SAUZI anafanya nini...(Kwa bongo hapa huwa anajishughulisha na kazi ya  u-VIDEO KWINI)
Kupitia kile anachoweka huko INSTAGRAM hatimaye imedhihilika wazi kwa jamaa hapo pichani anaitwa Louis Dolnard.... ndio mpango mzima kwa dada yetu...STORY INAANZA HIVI:
Picha ya kwanza ya huyu jamaa alipost  miezi miwili iliyopita!!!
Wambea tukapotezea!!! Dah


Wiki iliyopita alitupia tena picha ya huyu jamaa bila kuandika chochote ......washambenga tukahisi kuna....MAUMIVU NIACHE ....MAHABA NIKUMBATIE hapa....hahahahahaha!!!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni