vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumatatu, 7 Julai 2014

Diamond Platnumz Feat Iyanya – Bum Bum (Official Video)

Ukitaka kujua definition halisi ya msanii kwenda international zaidi, basi ukiangalia hii video mpya ya diamond aliyomshirikisha Iyanya, utajua ni nini maana halisi ya kuwa level za kimataifa, bila shaka hii ni moja ya video ambayo hata ukiweka katika category ya video bora za mwaka na kulinganisha na video nyingine hapa kutakuwa na uonevu. Huu ni ujio mpya kabisa wa diamond Platnumz, headlines in the making kwa mara nyingine tena.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni