vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumatatu, 7 Julai 2014

Diamond Platnumz – Mdogo Mdogo (Official Video)


Wapenzi wengi wa muziki huu wa bongo fleva walikuwa wanasubiri kwa hamu sana hii moja ya video kali za Diamond Platnumz alizoahidi kuziachia siku ya leo tarehe saba, once again Diamond amefanya yake kwa utofauti mkubwa sana, si kama video nyingine tulizo zoea kuziona za hapa bongo, kuanzia aidia, location hadi quality ni tofauti kabisa..pata kuiwatch hapa kwa mara ya kwanza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni