MKE WA MTU SUMU:PICHA ZA MSANII MKUBWA WA FILAMU ANASWA CHOBINGO NA MKE WA MTU
STAA wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Stanley Msungu
amenaswa laivu akiwa kwenye pozi tata na mke wa mtu aliyetambulika kwa
jina moja la Bonita.
Mke wa mtu anayedaiwa kuchepuka na Stanley Msungu Tukio hilo lilijiri
nje ya Mgahawa wa Great Wall uliopo Masaki jijini Dar, usiku wa saa
saba ambapo kulikuwa na tafrija ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
“Dah! Kuna watu wana uhuru kweli na ndoa zao, yaani Bonita amefunga ndoa juzijuzi tu, mumewe amelala nyumbani yeye anahangaika huku na Msungu.
......akijificha kukwepa kamela.
“Dah! Kuna watu wana uhuru kweli na ndoa zao, yaani Bonita amefunga ndoa juzijuzi tu, mumewe amelala nyumbani yeye anahangaika huku na Msungu.
......akijificha kukwepa kamela.
“Kama huamini nenda kwenye gari ukajionee wanachofanya Msungu na
Bonita au hadi tufanye sisi ndiyo mnatupiga picha?” alihoji mmoja wa
waigizaji walioalikwa kwenye hafla hiyo ambaye jina tunalihifadhi
akimsisitiza mwanahabari wetu kwenda kunasa tukio hilo.
Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, Risasi Jumamosi kama kawaida yake lilinyata hadi lilipokuwa gari la Msungu kisha kunasa tukio hilo ambapo Bonita alikuwa akijificha asionekane vizuri huku Msungu akiwa katika hali ya kutaharuki.

Staa wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Stanley Msungu
“Kaka mke wa mtu huyu, utaniharibia mimi na yeye kwa mumewe, achana
na hayo mambo kaka njoo tuzungumze,” alisema Msungu akijitetea huku
Bonita akiomba kamera ya paparazi wetu iishe chaji ili zoezi la kupiga
picha lisiendelee kabla ya kuondoka eneo hilo kwa spidi na kutaka
kumgonga mwandishi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni