Msanii mkongwe wa filamu Bongo Blandina Chagula ‘Johari’WASANII wa
filamu Bongo, waliokuwa katika kamati maalum iliyoundwa na Mwenyekiti wa
Bongo Movie Unity Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ya kukabidhiwa
ukamanda wa vijana, juzi walimcheka mwenzao, Blandina Chagula ‘Johari’
kwa kunyang’anywa bwana.
“Niachieni Johari wangu jamani, mnamkerakera kila wakati hadi anakosa
amani kwani wanaume wameisha atapata mwingine” alisikika Steve Nyerere
akimfariji msanii huyo mkongwe ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa
kimapenzi na Ray.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni