vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Ijumaa, 4 Julai 2014

Ukweli wa sababu ya ugomvi baina ya watangazaji wa xxl ya cloudsFM huu hapa ….

Siku mbili tatu hivi zilizopita kumetokea maneno mengi kuhusiana na ugomvi wa kugombania kuhusu compilation album ya fiesta baina ya DJ Fetty , Adam Mchomvu na B-12. Leo B12 amefunguka kuhusiana na sababu ya ugomvi huo na kusema haya “#washkajizangu @thebestfetty and @adamchomvuKwanza sorry sana Kama lile tukio la juzi kama lilikuzingua. Tuliifanya maksudi (prank)…..Ni tukio lililosambaa ktk Muda mfupi na Karibu Kila mtu alipata taarifa…..ukweli ni kuwa matukio meeeengi mtaani yanaendelea lakini watu wanayapigia kimya sababu unahisi halikuhusu sababu muhusika Si ndugu wala rafiki…Mpango ni kupaza sauti na kuyafikisha kwenye vyombo vya usalama matukio yote yanayosababisha amani ivunjike.#PazaSautiUkimyaHausaidii

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni