vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Alhamisi, 14 Agosti 2014

HUU NDIO UKWELI: UNAMPENDA WEMA SEPETU?! MENEJA WAKE AFUNGUKA YOTE KUHUSU KUSHUKA KWAKE!
 
 
Wema akiwa na Meneja wake Martin Kadinda

Ok hapo juu ndo ujumbe alioandikiwa Meneja wa mrembo Wema Sepetu anaeitwa @mrekebishatabia. Maswali mengi yamekuja baada ya Wema kufanya show Mwanza, mpenzi wake alipokuwa akiperform jukwaani, pamoja na hayo mashabiki walio wengi wametaka kuona Wema akijishughulisha kuliko hivyo anavyo zunguka na hawajui anafanya nini. Wema ana mashabiki wengi sana wanaompenda na kutaka mafanikio yake. Baada ya swali hilo hapa chini ndo jibu alilitoa kaka Meneja wa Wema amejielezea vizuri sana. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni