Agness Masogange Akana Tuhuma za Kutoka na King Lawrenc, Saa yamkononi yaleta Utata
Baada ya Mrembo Agness Masogange Aishie Njia South Afrika kupost kwenye
instagram Picha ya Mkono wa Mwanaume wenye saa nyeusi, watu na page
mbali mbali walianza kumshambulia na kusema mkono huo ni wa King Lawrenc
na wengine kuandika kuwa ni project mpya, Agness Masogane Amejitokeza
na kuandika haya instagram:
"
Mkono huo ni wa Boyfriend wangu na sio wa huyo mnaemsema na wala
simjui hata sijawahi kumuona..muwe mnachunguza vitu kwanza sio
kukurupuka tu na kuongea ongea ovyo"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni