Washabiki Msipende Kudandia Treni kwa Mbele Mtagongwa - Shilole
Kwenye Kipindi cha TV cha Friday Night Jana usiku Kituo cha EAT Shilole
Amefungukia mashabiki wake kuwa Wasipende kudandia Treni kwa mbele
Mtagongwa ,kawaambieni hivyo mashabiki wake kwakuwa mmeishupalia ishu ya
kumpiga vibao 'mmewe' wakati hamjui kilichotokea
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni