Lazaro Nyalandu na Aunt Ezekiel Wachanwa Bungeni Kuhusu Safari ya Kwenda Kutangaza Utalii
Jana wakati mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema , akichangia
hoja Bungeni nakudai kuwa mawaziri wengi hawana ubunifu nakumrushia
“bomu” Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa anazunguka
nje ya nchi na msichana kwa madai ya kutangaza utalii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni