Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!
Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.
“With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.
Mashabiki wake walimpongeza kwa kuweza kumpata mwenza na kutaka PROJECTII iendelee.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni