Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Jenista Mhagama akisoma Muswada wa Sheria ya Udhibiti na Umamizi
wa Dawa za Kulevya wa mwaka 2014 , Bungeni mjini DOdoma Machi 24, 2015
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiteta na Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba
Bungeni mjini Mjini Dodoma Machi 24, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akifurahia jambo katika mazungumzo na waandishi wa habari kwenye viwanja
vya Bunge mjini Dodoma Machi 24, 2015. Kushoto ni Naibu Waziri wa
Fedha, Adam Malima.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni