Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa
Umma Jaji Mstaafu Dkt. Steven James Bwana akiukaribisha ujumbe wa
Serikali ya Zimbabwe katika Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma Tanzania
ilipofanya ziara ya Mafunzo nchini Tanzania jana.
Katibu Msaidizi wa Tume ya
Utumishi wa Umma Bw. Richard Odongo akiwasilisha mada wakati wa Ziara ya
Mafunzo ya Tume ya Utumishi wa Umma ya Zimbabwe ilipoitembelea ofisi ya
Tume ya Utumishi wa Umma nchini jana.
Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akiukaribisha
Ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma ya Zimbabwe ulipoitembelea ofisi
hiyo jana.
Baadhi ya Maofisa wa Ofisi ya
Rais-Utumishi na Ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma ya Zimbabwe
wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa ulipoitembelea ofisi ya
Rais-Utumishi
Afisa Tawala Mkuu wa Ofisi ya
Rais-Utumishi (wa pili kushoto) Bw. Francis Sangunaa akiwasilisha mada
wakati ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma ya Zimbabwe ulipoitembelea
ofisi hiyo jana.
Mkuu wa Mahusiano na Uhamasishaji
wa Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Hifadhi ya Jamii nchini Tanzania
(SSRA) Bi. Sarah Kibonde akiwasilisha mada wakati ujumbe wa Tume ya
Utumishi wa Umma ya Zimbabwe ulipoitembelea ofisi hiyo jana.
Makamu Mwenyekiti wa Tume Ya
Utumishi wa Umma ya Zimbabwe Dkt. M. Muchada akipokea zawadi toka kwa
Mkuu wa Mahusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za
Hifadhi ya Jamii nchini Tanzania (SSRA) Bi. Sarah Kibonde mara baada ya
baada ya kumaliza ziara ya mafunzo katika ofisi hiyo jana jioni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni