vodacom.co,tz

vodacom.co,tz

Jumatano, 25 Machi 2015

TANZANIA NA KENYA YATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA MAZAO YA MISITU

003
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu  na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba Akifafanua jambo  baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .Picha picha zote na mahmoud ahmad arusha.
001
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mazingira na Maliasili  nchini Kenya Richard Lusiambe (wakwanza kulia) akiongozana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu  na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba mara baada ya kutia saini makubaliano ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika  jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .
002
Viongozi kutoka serikali ya Tanzania na Kenya pamoja na Mashirika binafsi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutia saini makubaliano kati ya Tanzania na Kenya  kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano uliofanyika  jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la TRAFFIC .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni