Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, jana amempigia simu Msanii wa
Muziki wa kufokafoka aka Hip Hop ndugu Hamis Mwinjuma aka MwanaFalsafa
aka MwanaFA aka Binamu, na kusema yeye ni mpenzi wa kazi zake haswa
Wimbo wake unaotamba anga za Miziki wa #DumeSuruali ambao alimshirikisha
Vanessa Mdee. Moja ya ya Msitari anaoupenda ni "Utoe hela kwani ina TV
ndani?"
"Nimefurahi kupokea simu ya Mheshimiwa Rais Magufuli kunisalimia na kuniambia yeye ni mpenzi wa kazi zangu,haswa #DumeSuruali" amesema MwanaFA kwenye Ukurasa wake wa Twitter
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni